Ni Moses Phiri dakika ya 28
Chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda wekundu wa Msimbazi, Simba SC wamekamilisha dakika 45 kwa kupata bao moja kupitia kwa Moses Phiri dakika ya 28.

Bao hilo amefunga kwa mtindo wa acrobatic akiwa ndani ya 18 kwenye mchezo huo wenye ushindani mkubwa ambao unaendelea jijini Lilongwe nchini Malawi dhidi ya Nyasa Big Bullets FC.

Post a Comment

0 Comments