Orodha ya wana CCM wanaopendekezwa kuteuliwa kugombea ubunge EALA


Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuwataarifu wanachama wote wa CCM na umma wa Watanzania kwa ujumla kwamba,katika kikao chake maalum kilichofanyika tarehe 7 Septemba, 2022 jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa pamoja na mambo mengine, iliwateua na kuwapendekeza wanachama wa CCM wafuatao, kuteuliwa kugombea nafasi za Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki;


Post a Comment

0 Comments