Simba yatangulia kwa bao

Simba SC wanaandika bao la kwanza, Nyasa Big Bullets ubao unasoma sifuri katika mtanange huu ambao unaendelea katika dimba la Bingu jijini Lilongwe nchini Malawi. Bao limefungwa na Phiri


Mtanange huu unapigwa katika Dimba la Bingu jijini Lilongwe, Malawi. Hiki hapa kikosi cha kwanza cha Simba kinachotarajiwa kuanza:-
Aishi Manula
Mwenda
Mohamed Hussein
Outtara
Inonga
Kanoute
Sakho
Mzamiru
Phiri
Chama
Kibu
Akiba
Beno
Nyoni
Kennedy
Okwa
Okra
Dejan
Bocco
Banda

Post a Comment

0 Comments