Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 14,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.89 na kuuzwa kwa shilingi 29.16 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.07 na kuuzwa kwa shilingi 19.23.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 14, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 217.41 na kuuzwa kwa shilingi 219.52 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.99 na kuuzwa kwa shilingi 134.27.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2294.70 na kuuzwa kwa shilingi 2317.65 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7447.19 na kuuzwa kwa shilingi 7502.67.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.22 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.33 na kuuzwa kwa shilingi 9.86.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2307.78 na kuuzwa kwa shilingi 2331.79.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 15.95 na kuuzwa kwa shilingi 16.10 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 331.39 na kuuzwa kwa shilingi 334.61.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2659.79 na kuuzwa kwa shilingi 2687.55 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.26.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.76 na kuuzwa kwa shilingi 630.98 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.25 na kuuzwa kwa shilingi 148.55.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 14th, 2022 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 624.7659 630.9793 627.8726 14-Sep-22
2 ATS 147.2511 148.5559 147.9035 14-Sep-22
3 AUD 1564.5285 1581.3326 1572.9305 14-Sep-22
4 BEF 50.2288 50.6734 50.4511 14-Sep-22
5 BIF 2.1971 2.2136 2.2053 14-Sep-22
6 CAD 1759.6066 1776.6578 1768.1322 14-Sep-22
7 CHF 2396.3063 2419.2589 2407.7826 14-Sep-22
8 CNY 331.389 334.6062 332.9976 14-Sep-22
9 DEM 919.4627 1045.1635 982.3131 14-Sep-22
10 DKK 310.4222 313.484 311.9531 14-Sep-22
11 ESP 12.178 12.2854 12.2317 14-Sep-22
12 EUR 2307.7828 2331.7876 2319.7852 14-Sep-22
13 FIM 340.784 343.8038 342.2939 14-Sep-22
14 FRF 308.897 311.6294 310.2632 14-Sep-22
15 GBP 2659.7902 2687.547 2673.6686 14-Sep-22
16 HKD 292.3822 295.3022 293.8422 14-Sep-22
17 INR 28.8965 29.1653 29.0309 14-Sep-22
18 ITL 1.0465 1.0557 1.0511 14-Sep-22
19 JPY 15.9487 16.1026 16.0257 14-Sep-22
20 KES 19.0748 19.2336 19.1542 14-Sep-22
21 KRW 1.6717 1.6849 1.6783 14-Sep-22
22 KWD 7447.1911 7502.6707 7474.9309 14-Sep-22
23 MWK 2.0828 2.2208 2.1518 14-Sep-22
24 MYR 509.255 513.8914 511.5732 14-Sep-22
25 MZM 35.3575 35.6561 35.5068 14-Sep-22
26 NLG 919.4627 927.6166 923.5396 14-Sep-22
27 NOK 230.4937 232.6537 231.5737 14-Sep-22
28 NZD 1392.4257 1407.2771 1399.8514 14-Sep-22
29 PKR 9.3321 9.8623 9.5972 14-Sep-22
30 RWF 2.1927 2.2589 2.2258 14-Sep-22
31 SAR 610.6507 616.5931 613.6219 14-Sep-22
32 SDR 2994.0596 3024.0002 3009.0299 14-Sep-22
33 SEK 217.4105 219.5222 218.4664 14-Sep-22
34 SGD 1637.4361 1652.8669 1645.1515 14-Sep-22
35 UGX 0.579 0.6075 0.5932 14-Sep-22
36 USD 2294.703 2317.65 2306.1765 14-Sep-22
37 GOLD 3926443.3054 3966657.975 3946550.6402 14-Sep-22
38 ZAR 132.9985 134.2663 133.6324 14-Sep-22
39 ZMW 146.3289 148.8058 147.5673 14-Sep-22
40 ZWD 0.4294 0.438 0.4337 14-Sep-22

Post a Comment

1 Comments