Wachangia damu kwa watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo JKCI


Afisa Uuguzi kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) Salma Jummanne akimtoa damu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi wakati wa zoezi lililofanyika leo la uchangiaji damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi katika zoezi la kuchangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo.


Afisa Uuguzi kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) John Juma akimpima wingi wa damu Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delila Kimambo wakati zoezi la kuchangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakichangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na ndugu wa wagonjwa wakichangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na ndugu wa wagonjwa wakichangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Zoezi la kuchangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) likiendelea.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news