Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 1,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.85 na kuuzwa kwa shilingi 29.13 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.13 na kuuzwa kwa shilingi 19.29.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 1, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2292.24 na kuuzwa kwa shilingi 2315.98.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2667.39 na kuuzwa kwa shilingi 2694.99 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.18 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.59 na kuuzwa kwa shilingi 16.69 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 332.54 na kuuzwa kwa shilingi 335.79.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.50 na kuuzwa kwa shilingi 630.71 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.19 na kuuzwa kwa shilingi 148.49.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.07 na kuuzwa kwa shilingi 2.23 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.02 na kuuzwa kwa shilingi 10.60.

Aidha, Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2293.74 na kuuzwa kwa shilingi 2316.68 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7446.01 na kuuzwa kwa shilingi 7510.23.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 214.73 na kuuzwa kwa shilingi 216.84 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.67 na kuuzwa kwa shilingi 135.98.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 1st, 2022 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 624.5045 630.7152 627.6098 01-Sep-22
2 ATS 147.1895 148.4937 147.8416 01-Sep-22
3 AUD 1572.8193 1589.0108 1580.915 01-Sep-22
4 BEF 50.2078 50.6522 50.43 01-Sep-22
5 BIF 2.1961 2.2127 2.2044 01-Sep-22
6 BWP 178.4532 180.701 179.5771 01-Sep-22
7 CAD 1750.1469 1767.3787 1758.7628 01-Sep-22
8 CHF 2341.2704 2363.718 2352.4942 01-Sep-22
9 CNY 332.5373 335.7994 334.1683 01-Sep-22
10 CUC 38.2949 43.5303 40.9126 01-Sep-22
11 DEM 919.0778 1044.726 981.9019 01-Sep-22
12 DKK 308.2863 311.3399 309.8131 01-Sep-22
13 DZD 16.3467 16.4324 16.3896 01-Sep-22
14 ESP 12.1729 12.2803 12.2266 01-Sep-22
15 EUR 2292.137 2315.985 2304.061 01-Sep-22
16 FIM 340.6413 343.6599 342.1506 01-Sep-22
17 FRF 308.7677 311.499 310.1333 01-Sep-22
18 GBP 2667.3932 2694.9938 2681.1935 01-Sep-22
19 HKD 292.2524 295.1711 293.7117 01-Sep-22
20 INR 28.8525 29.1355 28.994 01-Sep-22
21 ITL 1.046 1.0553 1.0507 01-Sep-22
22 JPY 16.5398 16.6992 16.6195 01-Sep-22
23 KES 19.1305 19.2896 19.21 01-Sep-22
24 KRW 1.7075 1.7239 1.7157 01-Sep-22
25 KWD 7446.0074 7510.2279 7478.1176 01-Sep-22
26 MWK 2.0759 2.2356 2.1558 01-Sep-22
27 MYR 512.6827 517.4626 515.0727 01-Sep-22
28 MZM 35.3427 35.6412 35.492 01-Sep-22
29 NAD 102.7564 103.7377 103.247 01-Sep-22
30 NLG 919.0778 927.2283 923.1531 01-Sep-22
31 NOK 231.0261 233.2823 232.1542 01-Sep-22
32 NZD 1404.2292 1419.1982 1411.7137 01-Sep-22
33 PKR 10.0186 10.6027 10.3107 01-Sep-22
34 QAR 726.0188 733.3317 729.6753 01-Sep-22
35 RWF 2.1897 2.2286 2.2092 01-Sep-22
36 SAR 610.3626 616.1383 613.2504 01-Sep-22
37 SDR 2991.522 3021.4372 3006.4796 01-Sep-22
38 SEK 214.7357 216.8445 215.7901 01-Sep-22
39 SGD 1642.0235 1657.8503 1649.9369 01-Sep-22
40 TRY 126.1206 127.3545 126.7375 01-Sep-22
41 UGX 0.5802 0.6089 0.5945 01-Sep-22
42 USD 2293.7426 2316.68 2305.2113 01-Sep-22
43 GOLD 3926864.3497 3966851.164 3946857.7569 01-Sep-22
44 ZAR 134.6773 135.9801 135.3287 01-Sep-22
45 ZMK 143.7218 146.1628 144.9423 01-Sep-22
46 ZWD 0.4292 0.4379 0.4336 01-Sep-22






Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news