Waziri Mkuu ateta na Rais wa JTI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais na Mtendaji Mkuu wa JTI, Bw. Masamichi Terabatake, kwenye kikao kilichofanyika katika ofisi za Japan Tobacco International (JTI) zilizopo Kamiacho, jijini Tokyo Japan, Septemba 26.2022. Kutoka kushoto ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Bw. Takashi Araki, Mwenyekiti wa Bodi ya JTI, Bw. Mutsuo Iwai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana Rais na Mtendaji Mkuu wa Japan Tobacco International (JTI) Bw. Masamichi Terabatake, baada ya kikao kilichofanyika katika ofisi hiyo, iliyopo Kamiacho, jijini Tokyo Japan, Septemba 26.2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments