BRELA yakabidhi vyeti kwa wananchi kupitia Maonesho ya SIDO Kanda ya Kaskazini


Baadhi ya wananchi waliofika katika banda la Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kupatiwa huduma za Usajili wa Majina ya Biashara wakikabidhiwa vyeti vyao na Maafisa wa BRELA, katika maonesho ya SIDO Kanda ya Kaskazini yanayofanyika katika Uwanja wa Makumbusho jijini Arusha. Maonesho hayo yameanza tarehe 19 Oktoba, 2022 na yatahitimishwa tarehe 25 Oktoba, 2022.

Post a Comment

0 Comments