DAKIKA CHACHE ZIJAZO:Utafahamishwa kuhusu fursa zilizopo Mara, Kigoma na Kagera

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano muhimu maalum utakaofanyika leo Jumamosi ya Oktoba 1, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada;Mjadala wa kitaifa juu ya Maendeleo na Fursa mbalimbali za Kiuchumi katika Mikoa ya Mara, Kigoma na Kagera

Muda ukifika (Saa 5 kamili, Oktoba 01, 2022 - (Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3xYvopu

Au kupitia
Meeting ID: 836 4108 1713
Passcode: 320738

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news