HII HAPA RATIBA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

Wakati huo huo, TANESCO imefafanua kuwa, pamoja na kazi zote hizo kuendelea kufanyika, ofisi zao za mikoa zitaendelea kutoa ratiba ya upungufu wa umeme kwenye maeneo yote yanayoathirika.https://www.diramakini.co.tz/2022/10/ukame-waathiri-mabwawa-manne-ya.html?m=1

"Na wateja wetu watapewa taarifa kwa njia mbalimbali zikiwemo pamoja na ujumbe mfupi na maeneo kwenda kwa mhusika wa eneo hilo litakaloathirika, shirika linashukuru kwa ushirikiano linaoupata kwa wateja wake katika kutafuta majawabu,"Kurugenzi ya Mawasiliano kwa Umma, TANESCO imefafanua.

Post a Comment

0 Comments