Kikosi cha Yanga dhidi ya Simba SC hiki hapa


Kocha Mkuu wa Yanga SC ya jijini Dar es Salaam, Nasreddine Nabi leo Oktoba 23, 2022 ameachia kikosi chenye wachezaji;
Diarra
Djuma Shaban
Bangala
Dickson Job
Kibwana Shomari
Aziz KI
Feisal Salum
Khalid Aucho
Tuisila Kisinda
Fiston Mayele
Jesus Moloko
 
Kikosi hiki kinatarajiwa kuchuana na watani wao Simba SC katika Deby ya Kariakoo itakayochezwa punde katika Dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments