🔴LIVE:Fainali za Mashindano ya Utanashati, Urembo na Mitindo ya Viziwi Duniani ndani ya JNICC Dar es Salaam

Mashindano haya ya 12 duniani yanafanyika leo Oktoba 29, 2022 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika barani Afrika na Tanzania kuwa wenyeji wa kwanza
Rais wa Mashindano ya Urembo na Utanashati kwa Viziwi Duniani (MMDI),Bi.Bonita Ann Leek amesema, miongoni mwa sababu zilizowashawishi kuyaleta mashindano hayo hapa Tanzania ni pamoja na ukarimu, upendo na umoja wa Watanzania.

Post a Comment

0 Comments