🔴LIVE:Balozi Mbelwa Kairuki akizungumza na wanahabari

BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini China,Mheshimiwa Mbelwa Kairuki akizungumza mubashara na vyombo vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom leo Jumamosi Agosti 29,2022 kuanzia saa 9 kamili alasiri kwa saa za Tanzania.
 
Unaweza kushiriki kwa kubofya https://bit.ly/3TZi8te

ID: 823 7356 9577

Code: 617194

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news