🔴LIVE:Hizi hapa fursa za kiuchumi kutoka Morogoro, Pwani na Njombe

WATCH Tanzania inakualika kushiriki katika mkutano huu muhimu na maalum unaofanyika leo Jumamosi Oktoba 29, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada;Mjadala wa kitaifa juu ya Maendeleo na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana mikoa ya Morogoro, Pwani na Njombe

Unaweza kushiriki mkutano huu moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3z7LrBV

Au kupitia
Meeting ID: 864 9332 7824
Passcode: 623077

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibuni.

Post a Comment

0 Comments