Mbunge Mhagama akifanya ukalimani wa Kiingereza,Kifaransa wakati wa kikao cha IPU


Mbunge wa Jimbo la Madaba ambaye pia ni Mwakilishi wa Bunge la Tanzania kwenye Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Joseph Mhagama akifanya kazi ya Ukalimani wa lugha ya Kiingereza na Kifaransa wakati wa kikao cha Wajumbe wa Kundi la Kijiografia Kanda ya Afrika la IPU.

Post a Comment

0 Comments