Mhe.Hemed Suleiman Abdullah akagua maandalizi ya Uzinduzi wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah akizungumza katika Uwanja wa Jamhuri alipotembelea kukagua maandalizi ya Uzinduzi wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022 unaotarajiwa kufanyika Oktoba 31,2022 Jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments