Waziri Mkuu arejea nchini akitokea Korea Kusini baada ya kukamilisha ziara ya kikazi


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri (Kushoto) wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Oktoba 30, 2022. Mheshimiwa Majaliwa amerejea nchini leo akitoka Korea Kusini baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi nchini humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments