Mwaliko kwa wanahabari wote Tanzania kutoka kwa Balozi Mbelwa Kairuki

NA DIRAMAKINI

BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini China, Balozi Mbelwa Kairuki, atazungumza mubashara na vyombo vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom siku ya Jumamosi, Oktoba 29, 2022, kuanzia saa 9 kamili alasiri kwa Saa za Tanzania, moja kwa moja kutokea jijini Beijing nchini China.
Wanahabari wote wanakaribishwa. Jinsi ya Kushiriki;

Bofya https://bit.ly/3TZi8te

Au tumia
Meeting ID: 823 7356 9577
Passcode: 617194

NB. Muda wa kujiunga na mkutano ni saa 10:45 am. Tuzingatie MUDA.

Mawasiliano: +255734052138

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news