Rais Samia azindua miradi sita ya umeme ikiwemo kutoka Nyakanazi-Geita, Nyakanazi-Rusumo

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Nishati January Makamba pamoja na viongozi wengine wakivuta kitambaa kuzindua miradi sita ya umeme, ikiwemo Njia ya kusafirisha umeme wa msongo Kv 220 kutoka Nyakanazi -Geita, Nyakanazi Rusumo, Kituo cha kupokea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kukagua miundombinu mbalimbali ya Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme kwenda Mkoani Kigoma na Geita kwenye hafla ya uzinduzi iliyofanyika Nyakanazi mkoani Kagera 16 Oktoba, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Nishati January Makamba pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuzindua miradi sita ya umeme katika Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme kwenda Mkoani Kigoma na Geita.

Post a Comment

0 Comments