Waziri Mkuu akagua ujenzi Daraja la JPM lililopo Kigongo-Busisi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
uonekano wa maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo -Busisi Mkoani Mwanza ambalo Waziri Mkui, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo -Busisi Mkoani Mwanza ambalo Waziri Mkui, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news