Rais Tshisekedi akamilisha ziara ya kiserikali nchini Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo, kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam baada ya kukamilisha ziara yake Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo, wakisalimiana na Viongozi mbalimbali kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati Rais Tshisekedi alipokuwa akiondoka baada ya kukamilisha ziara yake Tanzania.

Post a Comment

0 Comments