RC Meja Jenerali Mzee atoa maagizo kwa watendaji wa halmashauri


Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee amewataka viongozi na watendaji wa Halmashauri kusimamia kwa mujibu wa mwongozo wa matumizi ya shilingi bilioni 10.920 za ujenzi wa madarasa 546 pamoja na samani kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2023.

Post a Comment

0 Comments