Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 11,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2541.27 na kuuzwa kwa shilingi 2566.91 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.15 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 11, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.30 na kuuzwa kwa shilingi 631.50 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.38 na kuuzwa kwa shilingi 148.68.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2230.53 na kuuzwa kwa shilingi 2253.76.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 203.75 na kuuzwa kwa shilingi 205.73 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.89 na kuuzwa kwa shilingi 128.12.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.26 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.03 na kuuzwa kwa shilingi 10.64.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 27.87 na kuuzwa kwa shilingi 28.13 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.02 na kuuzwa kwa shilingi 19.18.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.67 na kuuzwa kwa shilingi 2319.64 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7400.98 na kuuzwa kwa shilingi 7472.58.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.60 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 15.78 na kuuzwa kwa shilingi 15.94 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 321.38 na kuuzwa kwa shilingi 324.48.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 11th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.3024 631.5038 628.4031 11-Oct-22
2 ATS 147.3776 148.6834 148.0305 11-Oct-22
3 AUD 1452.1865 1467.1723 1459.6794 11-Oct-22
4 BEF 50.2719 50.7169 50.4944 11-Oct-22
5 BIF 2.1989 2.2155 2.2072 11-Oct-22
6 CAD 1676.0368 1692.3032 1684.17 11-Oct-22
7 CHF 2301.9677 2324.0557 2313.0117 11-Oct-22
8 CNY 321.3838 324.4842 322.934 11-Oct-22
9 DEM 920.2521 1046.0609 983.1565 11-Oct-22
10 DKK 299.9442 302.916 301.4301 11-Oct-22
11 ESP 12.1885 12.296 12.2422 11-Oct-22
12 EUR 2230.5291 2253.7623 2242.1457 11-Oct-22
13 FIM 341.0766 344.099 342.5878 11-Oct-22
14 FRF 309.1622 311.897 310.5296 11-Oct-22
15 GBP 2541.269 2566.9136 2554.0913 11-Oct-22
16 HKD 292.5773 295.4993 294.0383 11-Oct-22
17 INR 27.8709 28.1301 28.0005 11-Oct-22
18 ITL 1.0474 1.0566 1.052 11-Oct-22
19 JPY 15.7836 15.9404 15.862 11-Oct-22
20 KES 19.0201 19.1785 19.0993 11-Oct-22
21 KRW 1.6117 1.6249 1.6183 11-Oct-22
22 KWD 7400.9837 7472.5855 7436.7846 11-Oct-22
23 MWK 2.0899 2.2609 2.1754 11-Oct-22
24 MYR 494.1208 498.6328 496.3768 11-Oct-22
25 MZM 35.3879 35.6867 35.5373 11-Oct-22
26 NLG 920.2521 928.413 924.3326 11-Oct-22
27 NOK 215.8325 217.8721 216.8523 11-Oct-22
28 NZD 1284.759 1298.5344 1291.6467 11-Oct-22
29 PKR 10.0268 10.6454 10.3361 11-Oct-22
30 RWF 2.1465 2.1889 2.1677 11-Oct-22
31 SAR 611.0611 616.8435 613.9523 11-Oct-22
32 SDR 2945.5294 2974.9846 2960.257 11-Oct-22
33 SEK 203.7557 205.7294 204.7426 11-Oct-22
34 SGD 1599.2432 1615.0108 1607.127 11-Oct-22
35 UGX 0.5764 0.6049 0.5906 11-Oct-22
36 USD 2296.6732 2319.64 2308.1566 11-Oct-22
37 GOLD 3851061.7346 3892819.848 3871940.7913 11-Oct-22
38 ZAR 126.8985 128.1173 127.5079 11-Oct-22
39 ZMW 140.9537 146.3034 143.6285 11-Oct-22
40 ZWD 0.4298 0.4384 0.4341 11-Oct-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news