Licha ya uzuri wangu nilitaabika kupata mume, sasa ninafurahia

NA MWANDISHI WETU 

JINA langu naitwa Aisha nina umri wa miaka 30.Nakiri kuwa mimi ni mzuri japo sijasema kuwa nazidi wanawake wote ila mimi najikubali kuwa ni mzuri,maana nina rangi ya chokoleti.

Mimi si mrefu sana au mfupi sana ni saizi ya kati,mimi si mwembamba au mnene sana,nyuma nashukuruMwenyenzi Mungu kanijalia, licha ya vyote hivyo sikuweza kupata mwanaume wa kunioa japo nilikuwa ninatongozwa kila siku, lakini nikiingia katika mahusiano tunaishia kuachana bila hata sababu yoyote.

Mwanzo kabisa sikuweza kutilia maanani sana hilo jambo la kupendana na mtu na kuachana bila sababu hasa tukianza mipango ya kutaka kuishi wote ila umri ulivyozidi kwenda nikaanza kuwa na hofu kwa nini mimi sipati mwanaume wa kunioa? Mbona kila siku marafiki zangu wanaolewa, mimi kazi yangu kwenda kwa harusi zao,yangu lini?.

Hivyo nikahisi huenda wanaume ninaopendana nao mimi sifanyi kila wanachotaka, labda ndiyo maana wananiacha,nilijitahidi kuwa muwazi na kufanya kila jambo mpenzi wangu analolitaka ila hali ikawa hivyo hivyo.

Ukweli ilifika hatua nikiwa kwenye mahusiano mwanaume yoyote akinitongoza namwanbia ninae mpenda ili asije kuniacha,nampa simu mpendwa wangu anakaa nayo ila jitihada zangu zote hazikuzaa matunda zaidi ya kuachwa tu.

Siku moja niliweza kukutana na kijana anaitwa Jamary. Jamary alinitongoza kwa miezi sita nikiwa nakataa maana nilikuwa nimeshakata tamaa juu ya mapenzi.

Jamary alizidi kuwasiliana na mimi na kunisaidia vitu mbalimbali na mwisho, hatimaye nilishawishika sana nikamkubalia na kuhisi huenda ndiye mwanaume niliyepangiwa kwa sababu kanisubiri miezi sita yote bila kutafuta mwanamke mwingine.

Jamary aliweza kunitambulisha kwa wazazi wake na mimi nikamtabulisha kwa wazazi wangu na kusubiri siku maalumu kwa ajili ya kufunga ndoa.

Kabla ya miezi miwili tufunge ndoa mambo yalibadilika sana,Jamary alikata mawasiliano yangu na yeye ghafla, nilitafuta marafiki zake ili nijue shida ni nini ila sikuweza kupata jibu.

Hali hiyo ilinibidi nitafute usaidizi maana sikuwa tayari kumpoteza Jamary katika maisha yangu ndipo rafiki yangu mmoja akaniambia kuwa Dr.Kiwanga anaweza kunisaidia maana huyo Dokta alimtibu mama yake ugonjwa wa sukari,alizidi kuniambia kuwa huyo huyo Dokta Kiwanga alimsaidia mume wake kupata kazi baada ya kuhangaika kwa miaka mitatu bila kazi,ilibidi niombe namba ya simu ambayo ni hii +254 769404965.

Niliwasiliana na Dr.Kiwanga kuwa, nahitaji usaidizi wa haraka na kumwambia hilo jambo la kuachwa na wanaume bila sababu limenitokea mara nyingi, hivyo sipo tayari kumpoteza Jamary.

Dr.Kiwanga aliniuliza maswali nikamjibu ndipo akasema kuwa, mwenye shida ni mimi na si wanaume ninaopendana nao.

Baada ya kunambia hivyo nilimuomba nahitaji anitatulie hiyo shida na kumuomba kuwa nahitaji kufika ofisini kwake ili nimueleze zaidi.

Nilipewa siku maalumu kwa ajili ya kumuona Dokta Kiwanga, hivyo nilianza safari ya kutoka kwetu Kondoa kuelekea Nakuru-Kenya katika ofisi ya Kiwangadoctors.

Nilifika salama na shida yangu kutatuliwa kwa muda wa saa 24.Nikiwa bado katika ofisi ya Kiwangadoctors niliweza kuambiwa kuwa wanatatua shida mbalimbali kama kufunga mume au mke asiende nje ya ndoa,kurudisha upendo na amani katika famili.

Pia kupata mpenzi,kupata cheo kazini na kusafisha nyota,Kiwangadoctors walizidi kunieleza kuwa wanatibu sukari,nguvu za kiume na pressure kwa kutumia madawa ya kienyeji.

Kesho yake nilianza safari ya kurejea kwetu Kondoa,nilipofika mkoa wa Arusha mchumba wangu Jamary alinipigia simu, na kunieleza kuwa siku mbili zilizopita ameniota tukiwa wote na zaidi katika ndoto ameota kuwa mimi ndiye chaguo lake la maisha yake yote, hivyo kitendo cha kutopokea simu zangu siku za nyuma anaomba nimsamehee maana kuna mambo alikuwa hajaweka tayari ila kwa sasa hata kesho anatamani tufunge ndoa.

Nilimjibu kuwa, mimi ni wake ndipo kesho yake akaniambia kuwa Baba yake mdogo atakuja kwetu kwa ajili ya kumaliza vitu wallivyoomba kwetu ili tufunge ndoa haraka iwezekanavyo maana moyo wake unakosa uwepo wangu.

Na kwa sasa Mwenyenzi Mungu ametujalia, tuna watoto watatu maisha yangu na mume wangu Jamary ni mazuri,tunaeshimiana na kupendana mno.

Natoa uwito kwa mwenye shida mbalimbali unaweza kumpata Dr.Kiwanga Kericho-Kenya au piga simu namba +254 769404965 utampata Dr.Kiwanga na utasaidika.Nakushukuru sana Kiwangadoctors.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news