Mheshimiwa Katambi atembelea na kukagua mabanda mbalimbali wakati wa Maonesho ya Wiki ya UKIMWI Kitaifa mkoani Lindi


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kaza, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi ametembelea na kukagua mabanda mbalimbali wakati wa maonesho ya Wiki ya UKIMWI yanayoendelea katika Viwanja vya Lulu mkoani Lindi. (Picha na OWM).

Post a Comment

0 Comments