Rais Dkt.Mwinyi amwapisha Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko

NA DIRAMAKINI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Ali Khamis Juma kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko katika hafla iliofanyika Novemba 24, 2022 Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha, Ali Khamis Juma kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko, katika hafla iliyofanyika Novemba 24, 2022 katika Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar,kabla ya uteuzi alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, katikati ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu).
Hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kabla ya uteuzi huo, Ali Khamis Juma alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali.

Post a Comment

0 Comments