Rais Dkt.Mwinyi ateta na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa BoT

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),Prof. Florens Luoga, alipofika Ikulu jijini Zanzibar na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa BoT kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo Novemba 7,2022. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa BoT,ukiongozwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),Prof.Florens Luoga, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo.

Post a Comment

0 Comments