Rais Samia afungua mkutano wa mabalozi jijini Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za nje kabla ya kufungua mkutano huo wa mabalozi uliofanyika Novemba 19, 2022 jijini Zanzibar.
Viongozi pamoja na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha Tanzania katika nchi za nje wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Nje mara baada ya kufungua Mkutano huo wa Mabalozi uliofanyika jijini Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments