Rais Samia ateta na mwakilishi mpya wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Malawi, Zambia na Zimbabwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwakilishi mpya wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Malawi, Zambia na Zimbabwe, Bw. Natham Belete mara baada ya kuwasili Ikulu ndogo jijini Arusha tarehe, 25 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mwakilishi mpya wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Malawi, Zambia na Zimbabwe Bw. Natham Belete pamoja na Ujumbe wake mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu ndogo Jijini Arusha tarehe, 25 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news