Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 18,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.37 na kuuzwa kwa shilingi 631.59 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.39 na kuuzwa kwa shilingi 148.69.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 18, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2723.92 na kuuzwa kwa shilingi 2752.08 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.16 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 216.87 na kuuzwa kwa shilingi 218.97 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 131.62 na kuuzwa kwa shilingi 132.82.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2377.31 na kuuzwa kwa shilingi 2402.01.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.92 na kuuzwa kwa shilingi 2319.89 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7465.53 na kuuzwa kwa shilingi 7537.74.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.81 na kuuzwa kwa shilingi 10.41.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.43 na kuuzwa kwa shilingi 16.59 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 321.07 na kuuzwa kwa shilingi 324.14.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.15 na kuuzwa kwa shilingi 28.42 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.84 na kuuzwa kwa shilingi 18.99.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 18th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.3698 631.5892 628.4795 18-Nov-22
2 ATS 147.3935 148.6995 148.0465 18-Nov-22
3 AUD 1533.4243 1549.6865 1541.5554 18-Nov-22
4 BEF 50.2774 50.7224 50.4999 18-Nov-22
5 BIF 2.1992 2.2158 2.2075 18-Nov-22
6 CAD 1718.2232 1734.8864 1726.5548 18-Nov-22
7 CHF 2422.1457 2445.3357 2433.7407 18-Nov-22
8 CNY 321.068 324.1428 322.6054 18-Nov-22
9 DEM 920.3513 1046.1736 983.2625 18-Nov-22
10 DKK 319.6917 322.8437 321.2677 18-Nov-22
11 ESP 12.1898 12.2973 12.2436 18-Nov-22
12 EUR 2377.3131 2402.0141 2389.6636 18-Nov-22
13 FIM 341.1133 344.1361 342.6247 18-Nov-22
14 FRF 309.1955 311.9305 310.563 18-Nov-22
15 GBP 2723.9183 2752.0855 2738.0019 18-Nov-22
16 HKD 293.4724 296.4034 294.9379 18-Nov-22
17 INR 28.1482 28.4228 28.2855 18-Nov-22
18 ITL 1.0475 1.0567 1.0521 18-Nov-22
19 JPY 16.4265 16.5872 16.5069 18-Nov-22
20 KES 18.8427 18.9999 18.9213 18-Nov-22
21 KRW 1.7061 1.7221 1.7141 18-Nov-22
22 KWD 7465.5338 7537.7392 7501.6365 18-Nov-22
23 MWK 2.0786 2.2388 2.1587 18-Nov-22
24 MYR 504.8177 509.0827 506.9502 18-Nov-22
25 MZM 35.3917 35.6907 35.5412 18-Nov-22
26 NLG 920.3513 928.5131 924.4322 18-Nov-22
27 NOK 226.6616 228.8628 227.7622 18-Nov-22
28 NZD 1401.3514 1416.2928 1408.8221 18-Nov-22
29 PKR 9.8071 10.4147 10.1109 18-Nov-22
30 RWF 2.1654 2.2226 2.194 18-Nov-22
31 SAR 611.2083 617.1561 614.1822 18-Nov-22
32 SDR 3021.2089 3051.4209 3036.3149 18-Nov-22
33 SEK 216.8666 218.9732 217.9199 18-Nov-22
34 SGD 1669.6378 1685.9666 1677.8022 18-Nov-22
35 UGX 0.5907 0.6198 0.6052 18-Nov-22
36 USD 2296.9208 2319.89 2308.4054 18-Nov-22
37 GOLD 4054662.3974 4095533.806 4075098.1017 18-Nov-22
38 ZAR 131.6219 132.8239 132.2229 18-Nov-22
39 ZMW 134.1369 139.4165 136.7767 18-Nov-22
40 ZWD 0.4299 0.4385 0.4342 18-Nov-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news