Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 22,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.95 na kuuzwa kwa shilingi 2319.9 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7454.97 na kuuzwa kwa shilingi 7519.27.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 22, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.22 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.74 na kuuzwa kwa shilingi 10.31.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.19 na kuuzwa kwa shilingi 16.35 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 320.59 na kuuzwa kwa shilingi 323.69.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.08 na kuuzwa kwa shilingi 28.35 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.81 na kuuzwa kwa shilingi 18.97

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.38 na kuuzwa kwa shilingi 631.58 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.39 na kuuzwa kwa shilingi 148.70.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2712.01 na kuuzwa kwa shilingi 2740.06 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.17.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 214.10 na kuuzwa kwa shilingi 216.18 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.15 na kuuzwa kwa shilingi 133.44.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2351.16 na kuuzwa kwa shilingi 2375.59.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 22nd, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.3779 631.5801 628.479 22-Nov-22
2 ATS 147.3954 148.7014 148.0484 22-Nov-22
3 AUD 1521.2703 1536.947 1529.1087 22-Nov-22
4 BEF 50.278 50.723 50.5005 22-Nov-22
5 BIF 2.1992 2.2158 2.2075 22-Nov-22
6 BWP 175.7167 178.8658 177.2913 22-Nov-22
7 CAD 1711.3325 1727.8022 1719.5673 22-Nov-22
8 CHF 2397.9022 2420.8703 2409.3862 22-Nov-22
9 CNY 320.5927 323.6992 322.146 22-Nov-22
10 CUC 38.3485 43.5911 40.9698 22-Nov-22
11 DEM 920.3632 1046.1871 983.2752 22-Nov-22
12 DKK 316.184 319.3195 317.7518 22-Nov-22
13 DZD 16.9208 16.9603 16.9405 22-Nov-22
14 ESP 12.1899 12.2975 12.2437 22-Nov-22
15 EUR 2351.1585 2375.5981 2363.3783 22-Nov-22
16 FIM 341.1178 344.1405 342.6291 22-Nov-22
17 FRF 309.1995 311.9346 310.5671 22-Nov-22
18 GBP 2712.0094 2740.0575 2726.0335 22-Nov-22
19 HKD 294.2017 297.1247 295.6632 22-Nov-22
20 INR 28.0852 28.347 28.2161 22-Nov-22
21 ITL 1.0475 1.0568 1.0521 22-Nov-22
22 JPY 16.1917 16.3501 16.2709 22-Nov-22
23 KES 18.812 18.9691 18.8906 22-Nov-22
24 KRW 1.6875 1.7032 1.6954 22-Nov-22
25 KWD 7454.969 7519.2688 7487.1189 22-Nov-22
26 MWK 2.0804 2.2184 2.1494 22-Nov-22
27 MYR 502.0657 505.9804 504.023 22-Nov-22
28 MZM 35.3921 35.6911 35.5416 22-Nov-22
29 NAD 98.494 99.4132 98.9536 22-Nov-22
30 NLG 920.3632 928.5251 924.4442 22-Nov-22
31 NOK 224.3138 226.4684 225.3911 22-Nov-22
32 NZD 1405.7337 1420.719 1413.2264 22-Nov-22
33 PKR 9.7415 10.3108 10.0261 22-Nov-22
34 QAR 741.736 749.2023 745.4692 22-Nov-22
35 RWF 2.1073 2.1668 2.137 22-Nov-22
36 SAR 611.2162 617.2298 614.223 22-Nov-22
37 SDR 3014.6786 3044.8254 3029.752 22-Nov-22
38 SEK 214.104 216.1765 215.1403 22-Nov-22
39 SGD 1661.9279 1677.9401 1669.934 22-Nov-22
40 TRY 123.3408 124.5421 123.9414 22-Nov-22
41 UGX 0.5896 0.6186 0.6041 22-Nov-22
42 USD 2296.9505 2319.92 2308.4352 22-Nov-22
43 GOLD 3998485.4828 4038818.3256 4018651.9042 22-Nov-22
44 ZAR 132.1522 133.4438 132.798 22-Nov-22
45 ZMK 134.0176 139.1256 136.5716 22-Nov-22
46 ZWD 0.4298 0.4385 0.4342 22-Nov-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news