Waziri Mchengerwa awakabidhi bendera washindi wa Tigo wanaokwenda Qatar

NA JOHN MAPEPELE

WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji na wadau wa michezo nchini kubadili fikra, mtazamo na utendaji wao ili Tanzania iweze kushiriki Kombe la Dunia ifikapo 2030.
Mhe. Mchengerwa ameyasema haya leo Novemba 28, 2022 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakati akiwaaga na kuwakabidhi bendera ya Taifa washindi wa Tigo wanaokwenda kwenye mashindano ya Soka ya Kombe la Dunia nchini Qatar.



Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news