Hii hapa ratiba ya upungufu wa umeme kwenye baadhi ya maeneo mkoani Geita

NA MWANDISHI WETU

KUTOKANA na ukame mkubwa unaoikumba nchi, mabwawa ya kuzalisha umeme ya Hale, Kihansi, Nyumba ya Mungu na Pangani yamepungua uwezo wake.
Na iwapo mvua zitaendelea kunyesha katika mabwawa yetu yote ya kufua umeme na matengenezo yaliyobakia kukamilika kama ilivyopangwa, basi tunategemea hali ya umeme itaendelea kuimarika;

Post a Comment

0 Comments