Hizi hapa salamu za Krismasi na Mwaka Mpya 2023 kutoka ofisi,taasisi,wizara,mashirika na wadau mbalimbali nchini

Uongozi wa DIRAMAKINI BUSINESS LIMITED ambao ndiyo waendeshaji na wamiliki wa DIRAMAKINI unawatakia Watanzania wote Heri ya Krismasi na maandalizi ya kuupokea Mwaka Mpya wa 2023 wenye mafanikio tele.
Amani iendelee kutawala katika kila familia, upendo na moyo wa ukaribu ili kuendelea kuifanya Tanzania yetu na jamii kuwa kimbilio la wengi kuja kujifunza mengi ambayo Mungu ametupa ikiwemo misingi imara ya Amani, Upendo, Mshikamano na Umoja.

ORODHA ZAIDI ITAENDELEADiramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news