MAKALA MAALUM ZIARA YA RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI AGOSTI, 2022

MWEZI Agosti, mwaka huu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya ziara katika mikoa ya kanda za juu kusini. Kupitia ziara hiyo Mheshimiwa Rais Dkt.Samia alikagua na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo.
Miongoni mwa miradi hiyo ni pamoja na kuzindua Mradi wa Maji wa Shongo-Igale unaosimamiwa na Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Mbeya (Mbeya UWSA).

Pia kufungua, jengo la Mama na Mtoto Hospitali ya Rufaa ya Wazazi Meta, Mradi wa Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na kuweka mawe ya msingi, endelea;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news