Rais Dkt.Mwinyi amwapisha Waziri Simai kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimwapisha Mhe. Simai Mohamed Said ambaye ni Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar, hafla hiyo imefanyika leo Desemba 3,2022 katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar na kushoto kwa Rais ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo cha Mhe. Simai Mohammed Said ambaye ni Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, baada ya kumwapisha kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo na kushoto kwa Rais ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo baada ya kumwapisha kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar, Mhe.Simai Mohammed Said ambaye ni Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar na kushoto kwa Rais ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news