Rais Dkt.Mwinyi ateta na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Bi. Edda Sanga akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) baada ya kumalizika kwa mazungumzo yake na Uongozi wa MCT yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo Desemba 22, 2022. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya MCT,Yussuf Khamis Yussuf (kulia kwa Rais) na Katibu Mtendaji wa (MCT),Kajubi Mukajanga walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Kajubi Mukajanga akisoma Waraka wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Waraka wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) na Katibu Mtendaji wa (MCT) Kajubi Mukajanga, wakati wa mazungumzo yake na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya MCT,Yussuf Khamis Yuusuf (kulia kwa Rais) na Katibu Mtendaji wa MCT,Kajubi Mukajanga.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Ofisi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa upande wa Zanzibar, Bi.Shifaa Hassan, akitoa maelezo ya Machapisho ya Vitabu mbalimbali vinavyotolewa na MCT kabla ya kukabidhiwa, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yake na Uongozi wa MCT walipofika Ikulu jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu cha “A History of Zanzibar Media” na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT),Yussuf Khamis Yussuf, baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu cha “Mwongozo wa Vyombo vya Habari wa Kuandika Habari za Watoto” na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT),Yussuf Khamis Yussuf, baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu cha “State of The Media in Tanzania”, na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT),Yussuf Khamis Yussuf, baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu cha “Training Manual on Gender and the Media”, na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT), Yussuf Khamis Yussuf, baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi huo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news