Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 28,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2762.58 na kuuzwa kwa shilingi 2790.67 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.14 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 28, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.65 na kuuzwa kwa shilingi 18.81 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.26.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.56 na kuuzwa kwa shilingi 631.76 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.42 na kuuzwa kwa shilingi 148.73.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.37 na kuuzwa kwa shilingi 2320.34 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7510.68 na kuuzwa kwa shilingi 7566.49.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.23 na kuuzwa kwa shilingi 17.40 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 329.87 na kuuzwa kwa shilingi 333.14.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 219.37 na kuuzwa kwa shilingi 221.48 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.29 na kuuzwa kwa shilingi 134.58.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2442.10 na kuuzwa kwa shilingi 2466.75.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 28th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.5592 631.7632 628.6612 28-Dec-22
2 ATS 147.4221 148.7283 148.0752 28-Dec-22
3 AUD 1546.3573 1562.2849 1554.3211 28-Dec-22
4 BEF 50.2871 50.7323 50.5097 28-Dec-22
5 BIF 2.1996 2.2162 2.2079 28-Dec-22
6 CAD 1696.2244 1713.0602 1704.6423 28-Dec-22
7 CHF 2470.2864 2494.721 2482.5037 28-Dec-22
8 CNY 329.8681 333.1429 331.5055 28-Dec-22
9 DEM 920.5299 1046.3766 983.4532 28-Dec-22
10 DKK 328.4063 331.6429 330.0246 28-Dec-22
11 ESP 12.1921 12.2997 12.2459 28-Dec-22
12 EUR 2442.1004 2466.7534 2454.4269 28-Dec-22
13 FIM 341.1795 344.2029 342.6912 28-Dec-22
14 FRF 309.2555 311.9911 310.6233 28-Dec-22
15 GBP 2762.5831 2790.6729 2776.628 28-Dec-22
16 HKD 294.5191 297.4375 295.9783 28-Dec-22
17 INR 27.7205 27.9791 27.8498 28-Dec-22
18 ITL 1.0477 1.0569 1.0523 28-Dec-22
19 JPY 17.2346 17.4056 17.3201 28-Dec-22
20 KES 18.655 18.811 18.733 28-Dec-22
21 KRW 1.8087 1.8251 1.8169 28-Dec-22
22 KWD 7510.6785 7566.4905 7538.5845 28-Dec-22
23 MWK 2.0947 2.2659 2.1803 28-Dec-22
24 MYR 519.7661 524.2521 522.0091 28-Dec-22
25 MZM 35.3985 35.6975 35.548 28-Dec-22
26 NLG 920.5299 928.6932 924.6115 28-Dec-22
27 NOK 232.8381 235.0711 233.9546 28-Dec-22
28 NZD 1441.5974 1456.2454 1448.9214 28-Dec-22
29 PKR 9.6464 10.2218 9.9341 28-Dec-22
30 RWF 2.1361 2.1945 2.1653 28-Dec-22
31 SAR 611.1643 617.1117 614.138 28-Dec-22
32 SDR 3057.3351 3087.9085 3072.6218 28-Dec-22
33 SEK 219.3713 221.4762 220.4238 28-Dec-22
34 SGD 1706.9369 1723.8781 1715.4075 28-Dec-22
35 UGX 0.5977 0.6271 0.6124 28-Dec-22
36 USD 2297.3664 2320.34 2308.8532 28-Dec-22
37 GOLD 4154568.77 4197274.6277 4175921.6989 28-Dec-22
38 ZAR 133.2919 134.5835 133.9377 28-Dec-22
39 ZMW 124.3205 127.7931 126.0568 28-Dec-22
40 ZWD 0.43 0.4386 0.4343 28-Dec-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news