Waziri Mkuu afanya ziara Hospitali ya Taifa Muhimbili
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Jackline Meena anayemuuguza mtoto Bryton Mbikilwa katika Taasisi ta Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam wakati alipotemblea Taasisi hiyo Disemba 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati alipoitembelea hospitali hiyo jijini Dar es salaam, Disemba 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi wakati alipotembelea Hospitali hiyo jijini Dar es salaam, Disemba 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wagonjwa wakati alipotembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam, Disemba 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mashine ya Magnetic Resonance Imaging (MRI) wakati alipotembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam, Disemba 13, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).