Waziri Mkuu awasili nchini Angola


Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa, akisalimiana na Katibu Mkuu Ikulu (Utawala, Fedha na Urithi),Bi. Maria Auxiliandora Fragoso Pascoal, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Luanda nchini Angola ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 10 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiaya ya Nchi za Afrika, Karibian na Pasifiki (OACPS) leo Desemba 9,2022.(Picha na OWM).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news