Mbunge Mteule wa Jimbo la Amani aapishwa


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amemuapisha Mbunge Mteule wa Jimbo la Amani Abdul Yussuf Maalim leo tarehe 31 Januari, 2023 Bungeni jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments