Rais Dkt.Samia ateta na Kansela wa Ujerumani, Bosi wa WEF na Rais wa Poland

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kansela wa Ujerumani Mhe. Olaf Scholz, Davos nchini Uswizi tarehe 18 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji ambaye pia ni Mwazilishi wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) Profesa Klaus Schwab Mjini Davos nchini Uswizi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji ambaye pia ni Mwazilishi wa Jukwaa la Uchumi Duniani Profesa Klaus Schwab mara baada ya mazungumzo Mjini Davos nchini Uswizi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda, Davos nchini Uswizi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda mara baada ya mazungumzo Davos nchini Uswizi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda mara baada ya mazungumzo Davos nchini Uswizi tarehe 18 Januari, 2023.(PICHA NA IKULU)

Post a Comment

0 Comments