'Tutayarejesha mafuvu, vifaa vya sanaa vilivyochukuliwa wakati wa Ukoloni'

NA JOHN MAPEPELE

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa na Katibu Mkuu, Dkt. Hassan Abbasi wamefanya kikao na ujumbe wa Balozi wa Ujerumani nchini, Mhe. Rejine Hess na kukubaliana kushirikiana kurejesha mabaki ya miili ya machifu na vifaa vya sanaa vilivyochukuliwa wakati wa ukoloni.
Post a Comment

0 Comments