Waziri Simbachawene ateta na viongozi wa NEC

NA MWANDISHI WETU

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene amefanya ziara ya kwenye ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kufanya mazungumzo na viongozi wa taasisi hiyo Januari 27, 2023 jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene akiagana na wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya ziara yake kumalizika.(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene akizungumza na watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacob Mwambegele akimkaribisha Waziri alipotembelea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Bwa. Emmanuel Kawishe (kushoto) Kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Bunge na Siasa Ofisi ya Waziri Mkuu Bwa. Raymond Kaseko kabla ya kikao.

Post a Comment

0 Comments