Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 20, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 223.39 na kuuzwa kwa shilingi 225.54 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.24 na kuuzwa kwa shilingi 134.54.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 20, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.54 na kuuzwa kwa shilingi 18.69 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.10 na kuuzwa kwa shilingi 2.27.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2836.04 na kuuzwa kwa shilingi 2864.87 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.12 na kuuzwa kwa shilingi 2.17.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.60 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.87 na kuuzwa kwa shilingi 18.05 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 338.67 na kuuzwa kwa shilingi 341.87.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2485.64 na kuuzwa kwa shilingi 2511.43.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.69 na kuuzwa kwa shilingi 2320.67 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7525.52 na kuuzwa kwa shilingi 7598.29.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.58 na kuuzwa kwa shilingi 631.78 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.44 na kuuzwa kwa shilingi 148.75.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 20th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.5801 631.7843 628.6822 20-Jan-23
2 ATS 147.443 148.7494 148.0962 20-Jan-23
3 AUD 1581.0426 1597.0851 1589.0639 20-Jan-23
4 BEF 50.2943 50.7395 50.5169 20-Jan-23
5 BIF 2.1999 2.2165 2.2082 20-Jan-23
6 CAD 1701.9949 1718.8875 1710.4412 20-Jan-23
7 CHF 2506.7566 2530.9958 2518.8762 20-Jan-23
8 CNY 338.668 341.8732 340.2706 20-Jan-23
9 DEM 920.6608 1046.5254 983.5931 20-Jan-23
10 DKK 334.1905 337.4833 335.8369 20-Jan-23
11 ESP 12.1939 12.3015 12.2477 20-Jan-23
12 EUR 2485.6443 2511.4291 2498.5367 20-Jan-23
13 FIM 341.228 344.2518 342.7399 20-Jan-23
14 FRF 309.2995 312.0355 310.6675 20-Jan-23
15 GBP 2836.0425 2864.8671 2850.4548 20-Jan-23
16 HKD 293.4287 296.3289 294.8788 20-Jan-23
17 INR 28.2529 28.5161 28.3845 20-Jan-23
18 ITL 1.0478 1.0571 1.0525 20-Jan-23
19 JPY 17.8698 18.0471 17.9584 20-Jan-23
20 KES 18.5373 18.6925 18.6149 20-Jan-23
21 KRW 1.8582 1.876 1.8671 20-Jan-23
22 KWD 7525.5243 7598.2909 7561.9076 20-Jan-23
23 MWK 2.1002 2.2718 2.186 20-Jan-23
24 MYR 533.6027 538.4385 536.0206 20-Jan-23
25 MZM 35.4036 35.7026 35.5531 20-Jan-23
26 NLG 920.6608 928.8253 924.743 20-Jan-23
27 NOK 231.1726 233.3786 232.2756 20-Jan-23
28 NZD 1465.6984 1480.8196 1473.259 20-Jan-23
29 PKR 9.4967 10.0899 9.7933 20-Jan-23
30 RWF 2.1204 2.1758 2.1481 20-Jan-23
31 SAR 611.7393 617.7581 614.7487 20-Jan-23
32 SDR 3101.3985 3132.4125 3116.9055 20-Jan-23
33 SEK 223.3893 225.5443 224.4668 20-Jan-23
34 SGD 1733.9771 1750.6563 1742.3167 20-Jan-23
35 UGX 0.6002 0.6298 0.615 20-Jan-23
36 USD 2297.693 2320.67 2309.1815 20-Jan-23
37 GOLD 4383883.4916 4428905.8682 4406394.6799 20-Jan-23
38 ZAR 133.2413 134.5387 133.89 20-Jan-23
39 ZMW 120.4736 122.7868 121.6302 20-Jan-23
40 ZWD 0.43 0.4386 0.4343 20-Jan-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news