Balozi Fatma Rajab ateta na Balozi wa Qatar nchini

NA MWANDISHI WETU

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Mhe. Hussain Ahmad Al – Homaid katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab akizungumza na Balozi wa Qatar nchini Mhe. Hussain Ahmad Al – Homaid wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab akimsikiliza Balozi wa Qatar nchini Mhe. Hussain Ahmad Al – Homaid wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo baina ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab na Balozi wa Qatar nchini Mhe. Hussain Ahmad Al – Homaid yakiendelea katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo baina ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab na Balozi wa Qatar nchini Mhe. Hussain Ahmad Al – Homaid yakiendelea katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab katika picha ya pamoja na Balozi wa Qatar nchini Mhe. Hussain Ahmad Al – Homaid yakiendelea katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo yao, viongozi hao wamejadili masuala mbalimbali hususani ya kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na Qartar ambapo Balozi Fatma amemhakikishia Balozi wa Qatar kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na Qatar kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo viwanda, biashara na uwekezaji.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news