Haya hapa majina ya abiria waliokuwepo katika basi la Frester iliyoua watu 12, kujeruhi kutoka Bukoba kwenda Dar es Salaam

NA DIRAMAKINI

WATU 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester lililokuwa likitoka Bukoba kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori lenye shehena ya saruji.
Ajali hiyo imetokea saa sita usiku wa kuamkia leo Februari 9, 2023 katika Kijiji cha Silwa Pandambili barabara kuu ya Dodoma - Morogoro huku chanzo cha ajali hiyo ikidaiwa ni dereva wa basi kutaka kulipita gari lililokuwa mbele yake bila kuchukua tahadhari. Tazama orodha ya majina hapa chini;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news