Prof.Lipumba, wenzake wanusurika kifo


Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba pamoja na wenzake watano, jana Februari 15, 2023 majira ya usiku walipata ajali maeneo ya Kilwa mkoani Lindi, baada ya gari kupinduka akiwa njiani kuelekea Kivinje kwa ajili ya maandalizi ya mkutano wa hadhara uliopangwa kufanyika leo Februari 16, 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news