Rais Dkt.Samia awaapisha viongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt.Gerald Mbonimpa Ndika kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 10 Februari, 2023. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bahame Tom Mukirya Nyanduga kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dosca Kemilembe Mutabuzi kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Rashid Kassim Mchatta kuwa Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Februari, 2023.
Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na viongozi mbalimbali wa Taasisi Wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Mawaziri, Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Skauti Mkuu Rashid Kassim Mchatta wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya Uapisho wa Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Skauti Mkuu Rashid Kassim Mchatta katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Februari, 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news