Rais Dkt.Mwinyi ateta na ndugu Marcel Akpovo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika, Bw.Marcel Akpovo akiwa na ujumbe wake,mazungumzo hayo yalifanyika Februari 10, 2023 katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika, Bw.Marcel Akpovo alipofika Ikulu jijini Zanzibar na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika, Bw.Marcel Akpovo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news